Personal tools
You are here: Home Books Uwazi na Ukweli Kitabu cha Tatu

Uwazi na Ukweli Kitabu cha Tatu

Rais wa Watu Azungumza na Wananchi

by Benjamin W. Mkapa

Hiki ni Kitabu cha Tatu katika mfululizo wa vitabu vya Uwazi na Ukweli vyenye mkusanyo wa hotuba za kila mwisho wa mwezi za Mheshimiwa Rais Benjamin Mkapa anazotoa kwa Taifa. Kitabu hiki kitawafaa Watanzania wote hasa wanapotaka kufuatilia kwa karibu utendaji kazi wa serikali waliyoiweka madarakani. Ni kumbukumbu muhimu kwa maendeleo ya Taifa na Katika Kuelewa masuala ya siasa, jamii na uchumi wa jamii ya Taznania.

This series is a key record of the Presidency of Benjamin Mkapa of Tanzania, who held office from 1995-2005. From 2001 he instituted monthly TV and radio addresses to the Nation on various topics of national, political, social and economic interest. The addresses in these collections are organised chronologically.

ISBN 9789987417391 | 166 pages | 210mm x 145mm | 2003 | Mkuki na Nyota Publishers, Tanzania | Paperback

Categories:

Authors

Editors

Document Actions