Personal tools
You are here: Home Books Uwazi na Ukweli Kitabu cha Kwanza

Uwazi na Ukweli Kitabu cha Kwanza

Rais wa Watu Azungumza na Wananchi

by Benjamin W. Mkapa

Hivyo ndivyo asemavyo, Mheshimiwa Rais Benjam Mkapa katika utangulizi wa kitabu hiki cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vya hotuba zake za kila mwisho wa mwezi kwa wananchi. Hotuba hizo ni ufunguo wa uelewa sahihi wa siasa, uchumi na masuala ya jamii katika nchi yetu katika kipindi hiki cha historia. Umoja wa taifa, mshikamano na juhudi za maendeleo yanahitaji kipaumbele maalum katika dunia ya leo ya utandawazi, na Mheshimiwa Rais Mkapa anaeleza kwa ufasaha ni nini tunapaswa kufanya ili tuweze kufanikiwa.

This series is a key record of the Presidency of Benjamin Mkapa of Tanzania, who held office from 1995-2005. From 2001 he instituted monthly TV and radio addresses to the Nation on various topics of national, political, social and economic interest. The addresses in these collections are organised chronologically.

ISBN 9789987686438 | 126 pages | 207mm x 145mm | 2001 | Mkuki na Nyota Publishers, Tanzania | Paperback

Categories:

Authors

Editors

Document Actions