Personal tools
You are here: Home Books Msako

Msako

by Naguib Mahfouz

Hii ni tafsiri ya kitabu, Al-Tariq, riwaya ya mwandishi maarufu wa Misri Naguib Mahfouz, raia wa Misri (1911 – 2006) iliyoandikwa katika lugha ya Kiarabu. Kwa kipindi cha miaka sabini, aliandika riwaya hamsini, hadithi fupifupi mia tatu na hamsini na tamthilia tano. Alitunukiwa tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka 1988 akawa Mwafrika wa kwanza kupata tuzo hiyo.

This is a translation of Al-Tariq, a novel by Egyptian author Naguib Mahfouz (1911 -2006), Africa’s first winner of the Nobel Prize for Literature (1988) and one of the most admired writers worldwide. Mahfouz wrote some forty novels, more than 100 short stories, 5 plays and numerous film scripts. The Arabic original of Al-Tariq was published in 1964. This Kiswahili translation is from the English translation.

ISBN 9789987686674 | 148 pages | 200mm x 145mm | 2004 | Mkuki na Nyota Publishers, Tanzania | Paperback

Categories:

Authors

Editors

Document Actions