Personal tools
You are here: Home Books Mapenzi Bora

Mapenzi Bora

by Shaaban Robert

Kwa zaidi ya miaka na tano vitabu vya mwandishi maarufu kushinda wote katika jamii za Waswahili kote Afrika ya Mashariki na Kati, Marehemu Sheikh Shaaban Robert, havikupatikana Tanzania. Sababu ya kukosekana kwa vitabu hivyo ni kuwa kampuni ya kigeni iliyovichapisha iliamua kuacha kuvichapisha kwa sababu haikulipwa kwa fedha za kegini jamo, lililosabishwa na hali mbaya ya uchumi. Athari za kupotea kwa vitabut vya Sheikh Shaaban Robert katika miaka hiyo ni kwamba Watanzania wengi hasa wale wenye umri chini ya miaka thelathini, kawamjui mwandishi kuyu maarufu na hawakulelewa katika mazingira ya utajiri wa maandishi yake abayo bila shaka yoyote ni mfano pekee wa utajiri wa uridhi wa utamaduni wetu. Kwa kuvichiapisha vitabu vya Marehemeu Sheikh Shaaban Robert tunawakaribisha tena Watanzania, hasa vijana kuvisoma, kuburudishwa na kufunzwa na yale aliyoyaandika kwa sanaa na kipaji adimu.

Poems from Shaaban Robert with translated title Worthy Love.

ISBN 9789976973082 | 69 pages | 208mm x 147mm | 2010 | Mkuki na Nyota Publishers, Tanzania | Paperback

Categories:

Authors

Editors

Document Actions