Diwani ya Mloka
Diwani ya Mloka ni mkusanyiko wa mashairi yanayozungumzia masuala mbalimbali ya kijamii na yanayomwandaa msomaji katika misingi bora ya kimaisha; kuchochea hamasa na juhudi za kuendeleza Kiswahili; na kuhifadhi mashairi yanayoakisi migogoro mbalimbali ya kisiasa kijamii na kiuchumi iliyokuwepo wakati wa utawala wa chama kimoja nchini Tanzania. “Hatua hii ya Mloka ni ya kufaa kuigwa...”.
A collection of Swahili poems by Charles Mloka.
ISBN 9789987686445 | 94 pages | 204mm x 145mm | 2002 | Mkuki na Nyota Publishers, Tanzania | Paperback
- Categories: