Adili na Nduguze
“Ingawa kitabu hiki hutaja habari za malaika na majini, na viumbe wa ajabu, lakini ni kwa sababu ya utunzi tu. Mambo hasa yaliyotiliwa mkazo ndani yake ni ardhi na mimea yake; machimbo na hazina zake; mifugo na mazao yake; biashara na faida yake; safari na manufaa yake; utajiri na umaskini na ndugu na matendo yao. Mambo haya huwahusu watu wengi kama si dunia nzima.”
- SHAABAN ROBERT
“Maudhui mazito yaliyobebwa na hadithi hii ya kusisimua yamekifanya kitabu iki kitumike tena na tena katika kufundisha Fasihi ya Kiswahili katika ngazi ya Elimu ya Sekondari.”
- MHARIRI
First published in 1980, this new edition tells of angels and devils and other extraordinary creatures. It is a vehicle of invention for issues in the book which are about land and its plants, mining and its value, livestock and agriculture, commerce, travel, richness and poverty, the rich and their wealth and relations between siblings. A moving characterisation of people in different pursuits of wealth and welfare.
ISBN 9789976102475 | 51 pages | 203mm x 131mm | 2010 | Mkuki na Nyota Publishers, Tanzania | Paperback
- Categories: