Author
Mareike Vennen
Mareike Vennen alifanya kazi kwenye mradi huu kama mshiriki kutoka katika Taasisi ya Masomo ya Sanaa na Masomo ya Historia ya Miji, ya Chuo Kikuu cha Ufundi cha Berlin. Yeye ni mwanasayansi wa tamaduni na anatafiti historia ya ufahamu na nyenzo za habari na mawasiliano katika historia ya asili na vile vile anatafiti kuhusu ukusanyaji wa nyara na tamaduni za makumbusho wakati wa karne ya kumi na tisa na ishirini.